POPULAR DEMAND..at your service.

Posted: March 13, 2013 in Uncategorized

Hello ndugu, jamaa na marafiki,

Kutokana na maombi ya watu wengi, watu wananiomba niwasaidie kuapply scholarships ili wasome vyuo nje. I wish niwasaidie wote ila sitaweza.

But kwa sasa ntaanza huduma za kusaidia kuapply vyuo na scholarships kwa watu, hasa vya UK na baadae nikishamaliza research zangu, nitasaidia kuapply vyuo vingine na scholarships dunia nzima ( Mungu atasaidia).

Ili tusipotezeane mda, nitabidi kumchaji mtu atakayetaka msaada wangu. Maana usamalia wema ulinitokea puani mara kadhaa huko nyuma, namsaidia mtu kumbe hayupo serious na mimi nahangaika kupiga simu vyuoni na kudownload forms na kujaza kumbe mtu hayupo tayari.

So anayetaka nimsaidie kuapply chuo tu, ni laki moja, na anayetaka nimsaidie kuapply scholarship tu kwamba kashapata admission na anataka nimsaidie kuapply scholarship na nimwandikie essay ya kwanini yeye achaguliwe ni laki moja na nusu, kwa anayetaka nimsaidie kuanzia kuomba chuo mpaka kuapply scholarships, ni laki tatu.

hizi bei ni kwasababu ntabidi nifanye research sana kwenye computer, na kupiga simu vyuoni kuhakikisha naelewa maelezo na pia mda wa kuwasiliana na wewe na kukujulisha so far nimefikia wapi na baada ya hapo tunamwachia mungu atusaidie ili upate chuo na scholarships.

Na scholarships ntakazoapply ni zile zinazolipia kila kitu, kuanzia ada, nauli, sehemu ya kulala na matunzo, na kama nilivyosema, ntaanzia na vyuo vya hapa UK huku nikiendelea kufanya research na vyuo vya nchi zingine.

Matokeo yatakayotoka baada ya kuomba scholarship sio GUARANTEED kuwa utapata, usipopata, atleast utakuwa umepata muongozo wa kujua jinsi ya kuomba scholarships na vitu gani uandike na gani usiandike.

Karibuni sana.

kwa waliso serious tu na wapo tayari kufanya kazi nami,

nitumie email kupitia

evelynkaijage@rocketmail.com

Lets get started and educated for FREEEEEEEEEEE…

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s