Step by step on applying for admission and scholarship at WESTMINSTER UNIVERSITY…..

Posted: December 5, 2011 in Uncategorized

Maaambo!!

Ntajitahidi kwenda hatua kwa hatua, maana nimepata maswali mengi yanayofanana, hope this will be useful, kumbuka kwanza, uwe na NIA kweli ya kusoma, Usiapply kisa unataka kutembea tu etc, UTAUMBUKA, wanaopata scholarship, huwa wanafatilia kiukaribu sana kuona kuwa unasoma kweli, hela ya masharti, unalipiwa kila kitu, we kazi ni moja 2, KUPASUA mpaka Unagraduate…

 

So website ya chuo ni hii

http://www.westminster.ac.uk/

Ukiingia humoo, then unaclic kwenye courses, ukiclick pale, utaona sehemu imeandikwa pembeni, find undergraduate course, postgraduate etc…ntatumia mfano wa postgraduate. Nimeclick post graduate course finding, ikatokea hiyo page hapo chini kwenye link.

http://www.westminster.ac.uk/courses/postgraduate

then nikaclick how to apply, ikanipa details, na link ndo hiyo hapo chini

 

http://www.westminster.ac.uk/courses/postgraduate/how-to-apply

R WE TOGETHER?

Soma details uelewe, kama unaapply for post graduate, jiandikishe kwenye link imewekwa hapo ya VISIT UKPASS, lazima ujiandikishe humo kwa kuomba masters popote UK,

Mind you, wakati naapply haikuwepo hii UKPASS, wanabadilisha kila siku mambo, so inabidi usome ili ujue zaidi, ndomaana nikasema uwe na NIA, ukiwa na nia, utasoma kila ki2 na kujua vinavyotakiwa, so ukibonyeza kwenye ukpass, link inakuja hii

http://www.ukpass.ac.uk/

then click find out colleges n universities u can apply throughj ukpass, then inakuja hii

http://www.ukpass.ac.uk/

sasa andika location, london na chuo university of westminster then usearch

 

http://www.ukpass.ac.uk/

then chuo kitaonekana kwenye ramani na detail zake, so chukua email hii,

course-enquiries@westminster.ac.uk

waandikie course unayotaka, (zile ulizoona hapo nyuma) na useme unataka kuanza mwakani september, na unaomba form ili ujaze, au link ili uendelee kujiandikisha, omba maelezo, watakupa yote.

I really hope this helps you, ntaulizia pia, nikijua ki2, will totally holla.

Goodluck and stay blessed

 

Advertisements
Comments
 1. msanika kabirigi says:

  ukitaka kuomba undergraduate unapitia stage gani

 2. TADEO A TAVE says:

  ASANTE KWA HIZO STEPS,KWANI ILIUA INANISUMBUA SANA

 3. Victoria says:

  Tanx bro, I have just applied hopeful ntafanikiwa. Plz let me knw ki2 kipya to keep me updated via vickyedwardito@yahoo.com

 4. “Step by step on applying for admission and scholarship at WESTMINSTER UNIVERSITY.
  . Blazing zone” actually enables me contemplate a small bit extra.

  I personally adored every particular component of it.

  I appreciate it -Lilia

 5. Abebe Asfawu says:

  please help i need to apply westiminster scholarship ,from the application form it asked me univesity of westiminster reference number(eight digit) so help me how can i fulfil these requirement immedately .

 6. Abebe Asfawu says:

  please help me i need to apply westiminster scholarship ,from the application form it asked me univesity of westiminster reference number(eight digit) so help me how can i fulfil these requirement immedately .

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s