Something to keep in mind when ASKING for scholarships and KEEPING it….

Posted: April 10, 2011 in Uncategorized

So
When applying for the scholarships, unatakiwa ujue ukipata, kutunza scholarship yako it needs hard work, wanaokulipia shule ni kama wazazi flani, so watamonitor performance yako shuleni na kila kitu, na wakiona huendani na maadili, wanakurudisha tu nyumbani, trust me, nimeona walirudishwa kwao, cause baada ya kupata scholarship, wakatumia mda mwingi kutalii na sio kusoma, so keep that in mind, pia ukiomba scholarship, jaribu kutokupromise vitu kibao, kila mtu anaweza toa ahadi, jaribu kuonyesha unania na cause na sio hela.
What i mean ni kwamba, mtu akikupa hela yake, anataka kuwa sure kuwa amechagua sahihi, jaribu kuonyesha mambo ambayo ushafanya yanayoendana na kozi ulioichagua, tuma hata picha au cd, kuwa tofauti, kama umeomba kozi ya psychology and management, na unataka scholarship, mi ningeandaa hata kadocumentary, nikaonyesha nawasaidia wasichana wadogo ambao wameteleza kwenye maisha labda kwa kuzaa wakiwa shule au kutumia madawa ya kulevya, alafu wamekata tamaa na masha, kisha ningejionyesha nawapa ushauri na kuwaencourage kuwa bado wanachance ya kushine, na ningefatilia wanatalent ipi, kama kushona vitambaa, au kuuza vitumbua, kisha ningewasaidia ideas kuanzisha vibiashara vidogo vya kujiweka busy na kuwapa muelekeo wa kukua na kuonyesha nawafatilia kila kukicha na maendeleo yao, unaweza mtumia hata mtu mmoja tu, kisha unaomba scholarship ukisema mi nania ya kusaidia watu kama hawa ambao wapo wengi Africa, wasitegemee misaada bali wajitume na kidogo walichonacho, na unategemea ukimaliza shule urudi nyumbani na uendeleze uliojifunza shule kwenye society, trust me, utakuwa different na lazima wakupe…
Try to be different and creative, hela saivi ni ngumu, so lazima uitolee jasho, bila kusahau kusali, maana hii pia ni bahati ya mtu, ila mungu anaangalia na juhudi zako.
Much love
Evelyn

Advertisement
Comments
  1. SAFINA KIMBOKOTA says:

    Mimi ni msichana wakitanzania,nategemea kumaliza degree yangu ya kwanza ya Fine Art katika chuo kikuu cha mlimani napata shida sana kupata shoralship ya masters ya Fine Art nje naomba unisaidie kupata mawasiliano na vyuo ambavyo vinatoa shoralship ya fine art.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Connecting to %s